The premier destination for premium products

LOGITECH Wireless Keyboard & Mouse Combo MK235

LOGITECH Wireless Keyboard & Mouse Combo MK235

Wengine Tsh90,000
Sisi Tsh78,000

 

  • Adjustable keyboard height
  • Full-size keyboard
  • Mouse included
  • Movement detection technology:Optical
  • Numeric keypad
  • Receiver included
  • Rechargeable

 

USAFIRI BURE LEO LEO UKITUMIA 100,000/-*
RUDISHA BIDHAA NDANI YA SIKU 7

Brand:
Logitech
Model:
920-007927 / #14607
Weight:
0.68 Kg
Product Dimensions:
50.00 cm x 4.20 cm x 14.00 cm

Taarifa Za Ziada

Uzito 0.68 kg
Vipimo 50.00 × 4.2 × 14.00 cm

Okoa Zaidi

Okoa fedha zaidi. Mbinu yetu ya manunuzi mtandaoni inafanya gharama zetu ndogo za uendeshaji iwe faida kwako

Usafiri ni Bure Leo Leo

Tumia zaidi ya 100,000/- na sisi na ujishindie furksa ya kupatiwa usafiri BURE ndani ya Dar es Salaam. Gharama za kawaida za usafirishaji zinaanzia 5,000/-*

100% Waranti ya Bidhaa

Tofauti na wengine, sisi tunachagua kwa maakini sehemu za kununua bidhaa kuhakikisha tunakupatia zilizo halisi na zenye warantii halisi

Rudisha Bidhaa Ndani Ya Siku 7

Bidhaa haifanyi kazi vizuri? Hakuna matata. Tutafanya taratibu za kuja kuchukua hiyo bidhaa na kurudisha fedha yako ndani ya siku 7*.

Fanya manunuzi bila wasiwasi.

*Hii ni kwa bidhaa zinazopelekwa Dar es Salaam

Unaitaji msaada? Chat, WhatsApp au piga simu 0762 493 434 Acha maoni

Categories: ,

SKU: 920-007927

Tags: , , ,

All search results